Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa kwa stori za ngono hana tofauti na chupi.
"Mabeberu wana mbinu nyingi wakiona mnasonga,
ni kama ukioa Mwanamke utaambiwa mbona mbaya,
akiwa mzuri utaambiwa anaanguka kifafa,
sasa mkiwa kitandani Mwanamke ashindwe kuanguka?,
mkifanya vizuri mtaambiwa mna magonjwa, hapa kuna mwenye Ebola?, mbinu za Mabeberu tu mzipuuze"-JPM
ubongo wake ndio muongozaji wake[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hizi hotuba zake anaandaliwa na nani?
Kunywa kvant unapona sasa hiviNashukuru Mungu bro ila mafua kwa mbaaali sana, vipi wewe hapo?
[emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]Embu sema unasumbuliwa na nini?
PoleAm not okay!