The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Mafua yameondoka au bado niongeze dozi?[emoji3]Hivyo hivyo tu ila nashukuru sio mbaya sana
Heheh! Noma sanaMafua yameondoka au bado niongeze dozi?[emoji3]
Ondoa shaka kabisa, jaribu kupata machungwa kadhaaHeheh! Noma sana
Bado yapo ongeza dozi kidogo tu
Asante sana nitazingatia hiloOndoa shaka kabisa, jaribu kupata machungwa kadhaa
Kufanya upasuaji afanane na Anje au kwa kuvaa mask inayofanana na Anje? Duh!Raia wa Iran Akamatwa kwa "Kukufuru"
Alifanya upasuaji afanane na Anjelina Jolie View attachment 1231932View attachment 1231941
Dah.. Huku ndio tulipofikia sasa aisee?
Hahah! Mambo si mambo mzee mwenzanguDah.. Huku ndio tulipofikia sasa aisee?