carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Chiziwee
[emoji23][emoji23]Nimeshalipata nasubiri mida tubaki wawili tu na bradha ila nitakutag
Leather shoes ukifua inatoka ila baada ya muda flani sio kwa mara mojaBro rangi haitoki nikifua??
Nimepunguza Carb hiyo pic ya muda kidogoHivi ndo umegoma kukata kucha?
Thanks CarbHongera
Nice work
Fabric kwa vumbi la kufuta na kutakatisha si uchafu wa kufua.Si kuna Fabric cleaners jameni...
wamukelekileNgibona kakhulu![emoji120][emoji120]
Okay sawa.Leather shoes ukifua inatoka ila baada ya muda flani sio kwa mara moja View attachment 1232027
Lakini kikiwa na materia ya kitambaa kama nguo hivi inakua mkataba japo nayo ikifuliwa mara nyingi inapauka
View attachment 1232028
Hahah! Eti upate SoulmateNimependa hii
#ngojanimtafutesoulmateafanyemambo
Kazi nzur dav hongera
😁😁😁 eti jameniSi kuna Fabric cleaners jameni...
Hahah![emoji23][emoji23][emoji23]
#naonaushaanzakuelewasomo
#njoouchukueKvantkwangu
So cool, Hongera Dave[emoji8][emoji8]