Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi nimemuona Lukuvi (Waziri wa ardhi) tu anapiga show off ya kujiandikisha. Nini zaidi kinaendelea?
sihao wapinzani uchwara baada ya kumuona mjomba wako anatishia mustakabali wa vyama vyao wameamua kujificha kwenye mwamvuli wa kususia uchaguzi wa serikali za mitaa.

kwa mujibu wa picha wanasema hao watu wamechukuliwa kwa lazima
 
Rais Magufuli ameagiza Mzee Mkanjauka mkazi wa Nachingwea, apewe ulinzi ili asidhurike kufuatia Mzee huyo kuibua hoja mbele ya JPM kuhusu Kusuasusa kwa miradi ya ujenzi wa Soko, Stendi na Kituo cha Radio ya Halmashauri ya Nachingwea Mkoani Lindi kitendo kilichopelekea Rais kushuka kwenye gari na kukagua soko hilo na kisha kumtaka Mkurugenzi ajibu hoja hizo, baada ya maelezo ya Mkurugenzi, Rais amesema ameliona tatizo kwenye eneo hilo na Wananchi wamuachie yeye atafanya maamuzi.
 
"Mkurugenzi umewahamisha watu kwenye soko na stendi kwa muda sasa na ujenzi haukumiliki, hili soko unasema imetumika Million 71, hapa kweli imetumika pesa hiyo?, kabla ya kuwa Mkurugenzi unasema ulikuwa Marekani, kwahiyo umetoka Marekani kuja kufanya kazi za Kipumbavu!”
 
Huko Uingereza wametaka watu wasiruhusiwe kula kwenye Vyombo vya usafiri wa umma na kodi iongezwe kwenye vyakula visivyo na afya ikiwa kama njia ya kupambana na unene uliopitiliza kwa watoto.

Hii ni baada ya idadi ya watoto wenye unene kupita kiasi kuongezeka mara mbili ndani ya miaka 30. “Watu wazima nao wafate taratibu hizo ili wawe mfano bora kwa watoto” Afisa mkuu wa matabibu nchini Uingereza anafafanua
 
sihao wapinzani uchwara baada ya kumuona mjomba wako anatishia mustakabali wa vyama vyao wameamua kujificha kwenye mwamvuli wa kususia uchaguzi wa serikali za mitaa.

kwa mujibu wa picha wanasema hao watu wamechukuliwa kwa lazima

Aisee. Kwa nini wawachukue kwa lazima wakati wanaweza kuwalipa kama walivyokuwa wanawalipa na kuwajaza kwenye malori nyakati zile za safari ya matumaini ya yule morani mwenye bahati mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…