Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mende habari nyingine kamanda. Hasa yale makubwa kabisa manene oooh Jizazi. I hate them. Ndo maana hata kifo cha mende sifagilii kabisa. Yaani nikihusianisha taswira tu basi stimu inakata [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mama Rwakatare kaleta msemo safi sana. Sasa hivi hata ukimzukia demu unasingizia tu upepo wa kisulisuli umekusukuma...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi huku nilipo yapo mengi. Sijawahi ona mende ana paa ila huku nimeonaMende habari nyingine kamanda. Hasa yale makubwa kabisa manene oooh Jizazi. I hate them. Ndo maana hata kifo cha mende sifagilii kabisa. Yaani nikihusianisha taswira tu basi stimu inakata [emoji16][emoji16][emoji16]
Huo upepo ukupeperushie kwangu tafadhaliNipo hapa napambana na upepo wa kisulisuli unanipeperusha kwelikweli.
Ukitaka utulivu wa kweli ni kuchagua mambo machache ya muhimu ukashughulika nayo, tunajizonga na mambo mengi sana mwisho wa siku hakuna hata moja limeenda kikamilifu.
Lakini pia hakuna mtu ana rasirimali za kutosha kufanya kila kitu, hapa namaanisha muda, pesa, n.k
Furaha ya kweli haipo kwenye vitu. Matajiri wangeongoza kwa furaha na utulivu wa moyo.
Hii barabara imekuwa si rafiki hasa nyakati za mvuaMtaa wa Ikrumah/ Swahilii Dar, hali ipo hivyoView attachment 1236095
AiseehMende habari nyingine kamanda. Hasa yale makubwa kabisa manene oooh Jizazi. I hate them. Ndo maana hata kifo cha mende sifagilii kabisa. Yaani nikihusianisha taswira tu basi stimu inakata [emoji16][emoji16][emoji16]
πππHuo upepo ukupeperushie kwangu tafadhali