Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii iliwaua sana wapinzani. Wao kutwa kulalamika kukosa sapoti ya watanzania wakati huo huo wakipata sapoti wanayoitaka wanaitumia vibaya.
Blanketi lipumualo linakuhusu....
Khaaa...sunbaehuyu ndiye mchumba wako kutoka india DEPAL gupta dharmendra?
matiti yametiririka chini kama maji ya mto
View attachment 1236217
huwezi jua pengine maslahi aliyoahidiwa ni makubwa zaidi ukilinganisha na kile anacholipwa ofisi ya mwanzo.
Ukatibu mkuu kwa sasa wampe Heche. Mkurya yule akiwaka amewaka hakuna kuzimika; na anaweza kujenga hoja. Huyu ngosha Mashinji huyu tangu awekwe mi sijawahi kumwelewa japo nadhani aliwekwa tu ili kuondoa dhana ya Ukaskazini na pengine kutafutia kura za kanda ya Ziwa.Hii iliwaua sana wapinzani. Wao kutwa kulalamika kukosa sapoti ya watanzania wakati huo huo wakipata sapoti wanayoitaka wanaitumia vibaya.
Uchaguzi wa 2015 wangeutumia vizuri ushindi ungekua wao tena mkubwa tu
Bado wakaboronga cheo cha katibu mkuu. Kile cheo angepewa lissu,lema,msingwa au mbunge yoyote machachari ndani ya CDM ingeongeza uzito ndani na nje ya chama
Jumapili hii pia waweza kusombwa na upepo wa kisulisuli mpaka kwa Mama Mchungaji. Ni kujichagulia tu [emoji16][emoji16][emoji16]Nimeweka Bango kwenye mtandao furani natafuta blanket la aina hiyo, yameletwa mengi nayafanyia majaribio[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Jamaa ana tamaa sana
[emoji23][emoji23]
Mwacheni ahangaike na maisha yake. Bila shaka huko alikoenda kuna maslahi zaidi. Kutafuta malisho ya majani mabichi bora. Ndiyo lengo la walio wengi....Umeona eeh,
Nachojua hata hapo EFM alikuwa anapata fungu la kutosha sema tu tamaa za zake zimemsukuma kuhama
Siyo kwa hii jamii yetu tuliyonayo. Nyongeza ya mshahara inayoeleweka wengi tu watahama walipo. Thamani ya mwanadamu kwenye jamii hii inayoabudu matajiri na mafisadi hii itakufikisha wapi? Who cares? Labda kwa matajiri walioridhika [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Thamani ya mwanadamu haipo kwenye vipande 30 vya fedha.
Ila kwakuwa tumeambiwa tusome ili tupate kazi yenye mshahara mkubwa, acha twende hivyo tu
Mwaka Kesho timu ya Lissu na Maalim itabamba mbaya. Hutaponyoka !!!Bora nilivyowatosa mwaka 2015.
Kumbe sikukosea, pumbavu sana
Tanzania mikataba mirefu hakuna. Just imagine kitenge alikimbia ITV huyo akaruka ruka weee katua Efm na bado akapata dili la supersport bado efm wakamvumilia japo hakua akitekeleza majukumu yake vizuri ,hajatulia vizuri now kahama