Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kanisani huwa hakuna kiingilio?
nimesikia kuna upepo una uwezo wa kumsukuma daemusin kutoka zenji hadi daresalama.
naomba muniwekee foleni huko kwa mama mchungajii.
uzuri imani yangu ya kibuddha inaniruhusu kuoa hata wanawake 30 kama mfalme wang guhn
 
Kwa huko visiwani labda. Kwenye Muungano je? Itakuwa mchanganyiko wa hawa watu ama?

Maalim na Zitto
Maalim na Lissu
Sumaye na Maalim
Membe na Maalim
mhhhhhhhhhh
mara hii tutamtoa sadaka ismail jussa ladhu.
baadae tutampa uwakilishi wa kuteuliwa kama muheshimiwa magufuli atashinda tena uraisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…