moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Umetisha, safi sana.Kitambo sana bro View attachment 1236578
ππIla tabia zenu zinafanana kama mapachaπππ
ππHapo kwenye kufanana, hapana aisee.King yuko juu mawinguni.
Mimi nasubiria upepo wa kisulisuli unipandishe, vinginevyo sitofika.
Asalaam AlyeikumUhenga ni nini.....?View attachment 1236585
ππππHapo kwenye kufanana, hapana aisee.King yuko juu mawinguni.
Mimi nasubiria upepo wa kisulisuli unipandishe, vinginevyo sitofika.
haya dada, usiku mwema.Tukijaliwa wapendwa tusameheane kama tunakoseana tukijaliwa ishaalah.
Mpendwa Hawachi [emoji870][emoji870][emoji870]Tukijaliwa wapendwa tusameheane kama tunakoseana tukijaliwa ishaalah.
Nimeshangaa sana...
Kule niliweka ya uwongo sio yangu.
Hichi inaonekana kina kiuno matata sana !!!
Naona unajaribu kuziba nafasi ya BAK mpendwa Hawachi. Naye anawekaga vimodo vya hivi hivi....
Hebu fikiria Carba aamke asubuhi halafu akute KaYego kamefanya yake namna hii?Wapi poti YegoView attachment 1236530
Malavidavi....
Wanaboa [emoji16][emoji16][emoji16]