moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hayo maneno kutoka kwenye Quran naona Mungu mwenyewe anasema hivyo, basi maadui ni sehemu ya maisha ya kila mtuHaiwezekani kutopata maadui bro. Watu tunapata maadui hapa kwenye uzi na hatujuani sembuse huko kitaani laivu?[emoji16][emoji16]
Naona baridi limezidi [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1236979[emoji173][emoji173][emoji173]
Hata mimi sielewi inawezekanaje. Ila siasa tuwaachie tu wenyewe [emoji3][emoji3]Hey Babe'
Naambiwa DPP kaibiwa Computer.
Nashindwa hata kufikiri hapa. Inawezekanaje?!.
😂😂😂😂 Numby weeeNa baridi hii full kumbembelezwa,tulia maombi yake yatimie
[emoji2][emoji2][emoji2]
Huku kwema Bro, naona dalili ya mvua tu....Marahaba sis. Unaendeleaje huko? Hakuna mvua na baridi huko uliko?
Huyu VE wako huyu mpaka anatutia wasiwasi sasa. Isije ikawa watu wasiojulikana wamefanya yao. Tumuombee...
Uzi huu haujawahi kumuacha mtu salama isipokuwa sis pekee ndo hajabadilika [emoji16][emoji16][emoji16]Huu uzi una dawa wakuu nakumbuka nilikuwa mpole ila now nimebadilika.Hivi ile comment nimeandika mimi kweli hapana ngoja nipumzike kwanza. Nisamehe Capitalpool mpendwa.
😁😁😁😁Naona baridi limezidi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]pole pole tutafika tu
My best alb kutoka kwa jamaaBila kusahau Graduation
Yes mpendwa ila ukimaliza kuangalia niambie ni delete vijana wamelala mida hiiView attachment 1236564
We acha tu 🚶🚶Naona baridi limezidi [emoji16][emoji16][emoji16]