Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1571179441841.jpeg
 
Kompyuta za DPP zaibiwa. Zinadaiwa kuwa na kumbukumbu za kesi za uhujumu uchumi pia taarifa za fedha zilizolipwa na watuhumiwa wa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.. Endeleeni kuigiza.

Tunajua kwamba hizi fedha mnazipeleka wapi, ndio maana mnazipokea "hard cash".
 
Back
Top Bottom