Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hugging ni natural, ni kitendo kinachotupa afya, hakina pesticide, wala preservatives zozote.
Ukienda popote mitandaon ukauliza nani mwanaharakati maarufu TZ utajibiwa mange eee bana mange huyu huyu aliyechangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa JPM aiseee njoo kwa fatma zao kuu la CCM nje mwanaharakati ndani anawapiga vilivyo bila kufahamu
kama huu ni upumbavu bora niungane na watanzania wenzangu wala ubuyu hodari.
Hao viongozi msingi wake mkubwa ni huko nilipoanzia.Una generalize sana! Kuna maoni ya mtu mmoja mmoja, kuna maoni kama mwana harakati n.k
Hayo makundi umetaja hapo juu yanajitegemea na wajibu wake hasa ni kumsaidia ama kumsemea Mwananchi kwa namna tofauti na kwa nafasi yake kama kundi husika.
Point yangu haikua ktk maelezo yako, hasa nililenga viongozi ambao wanafanya mambo kwa kujitoa ufahamu.
Zingatia issue ya wizi wa Computer ya DPP. Si la kawaida.