Aisee,, wakitoka hivi kwangu itakuwa sio poa kabsa
Kwa nini bro au unataka Ole atimuliwe
Aisee,, wakitoka hivi kwangu itakuwa sio poa kabsa
Na hiyo 2020 ndio upumbavu wenyewe utadhihirishwa.Rolo modo wangu bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kila mtu anapigania tumbo lake hakuna kingine. Gia za angani loading 2020. Watanzania wapumbavu mai futi.
Tunadanganyana tu. Azimio la Arusha ni Nyerere pekee aliyekuwa analiamini na kulitekeleza kivitendo. Wengine wote walikuwa wanamlia timing tu na kumwogopa. Alidhani denti wake Ben alikuwa mfuasi wa kweli mpaka akampa na urais jamaa kageuka mpigaji tu hakuna cha uadilifu wala nini.Ndiyo maana mpaka hivi nawashangaa wanapigania kurudishwa Azimio la Arusha.
Siwaelewi
Upumbavu wa mpumbavu mwenye upumbavu halisi unaweza kuzidiwa na upumbavu wa mpumbavu mwenye upumbavu?Na hiyo 2020 ndio upumbavu wenyewe utadhihirishwa.
Anachosema ni kweli, hatuwezi kuwa tishio kwa timu kama Liverpool kwa sasa.Liverpool ipi? Hii ambayo mwaka wa 29 haijashinda Epl
Kesho kutwa United 1-0 Liverpool
Ukienda popote mitandaon ukauliza nani mwanaharakati maarufu TZ utajibiwa mange eee bana mange huyu huyu aliyechangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa JPM aiseee njoo kwa fatma zao kuu la CCM nje mwanaharakati ndani anawapiga vilivyo bila kufahamuSioni kama kosa lina sababishwa na wanaharakati,
Upumbuvu upo ndani ya serikali.
Labda eleza ujinga wa uhalakati unaouzungumzia.
Am man u fan ila liver ya saiv ina nguvu na morali ya kuvunja rekodi yakeLiverpool ipi? Hii ambayo mwaka wa 29 haijashinda Epl
Bro unaleta uswahili,Upumbavu wa mpumbavu mwenye upumbavu halisi unaweza kuzidiwa na upumbavu wa mpumbavu mwenye upumbavu?
Tunadanganyana tu. Azimio la Arusha ni Nyerere pekee aliyekuwa analiamini na kulitekeleza kivitendo. Wengine wote walikuwa wanamlia timing tu na kumwogopa. Alidhani denti wake Ben alikuwa mfuasi wa kweli mpaka akampa na urais jamaa kageuka mpigaji tu hakuna cha uadilifu wala nini.