Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro unaleta uswahili,
Bahati mbaya me sio mswahili.
Ninachojua kiongozi unapo fanya jambo kwa makusudi bila kujali athari kwa taifa lako ni zaidi ya upumbavu.
Na huu ndio upumbavu mwingi kwa sasa ninaouzungumzia.
Msomi mbobevu kama wewe kweli umeshindwa kuing'amua logic hiyo rahisi tu na kukimbilia kuita eti uswahili?
Ila nasisitiza tena. Watanzania (hasa hawa wa sasa) siyo wapumbavu kama unavyodhani.