Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro unaleta uswahili,
Bahati mbaya me sio mswahili.
Ninachojua kiongozi unapo fanya jambo kwa makusudi bila kujali athari kwa taifa lako ni zaidi ya upumbavu.
Na huu ndio upumbavu mwingi kwa sasa ninaouzungumzia.

Msomi mbobevu kama wewe kweli umeshindwa kuing'amua logic hiyo rahisi tu na kukimbilia kuita eti uswahili?

Ila nasisitiza tena. Watanzania (hasa hawa wa sasa) siyo wapumbavu kama unavyodhani.
 
True kabisa. 2015 nilikaa masaa mengi kupata nafasi ya kupiga kura ila mwaka huu na mwakani sina huo muda. Kwa kifupi wengi WAMECHOKA kila anayewaambia ntawasaidia anaishia kuwatumia tu kwa maslah yao binafsi
Msomi mbobevu kama wewe kweli umeshindwa kuing'amua logic hiyo rahisi tu na kukimbilia kuita eti uswahili?

Ila nasisitiza tena. Watanzania (hasa hawa wa sasa) siyo wapumbavu kama unavyodhani.
 
Nyerere alikuwa na mawazo mazuri sana kinadharia ila kivitendo utekelezaji wake ulikuwa mtihani. Eti umasikini ndiyo sifa mojawapo kuu ya kuwa kiongozi bora na hapo hapo ukiwa kiongozi usiibe. Imposibo !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…