Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Haaahah msukuma wewe kwenye ubora wako, mikwara hadi rahaa.! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]Marahabaa TH. Usiwe unapotea hivyo. Au King tayari keshaanza mtindo wa kukunyang'anya nywila? Kama kaanza sema nimkanye kungali asubuhi na mapema.
Tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai [emoji16][emoji16][emoji16]
hahahahahahah, poa.Tutakutana baada ya mechi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntaangalia ya R madrid
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha sina wasiwasi, nasubiri tufungwe ile ahadi itimie
Hapana sijakwazika ila nimeshangaa wingu lilivyojichoraUmekwazika bint mpole?
Pple, samahani ikiwa umekwazika
Salama bro,Mungu anasaidia mambo yanasonga.. Vp pande hizo? Uzima upo?Namimi nitaicheki wkend hii...
Nakusalimia bro.Mishe ni vp pande hizo?
Kwann nikuite hilo jina wakati unalo zuri. Kuna jamaa hapo juu ndo namuita hivyo alinipa vitisho vya alshababuNi nani? Kama ni mimi badili hilo jina tafadhali.