Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahsante kwa kuja Cole Williams, kwema mdogo wangu? Jana ulinikwaza sana,ni kama ulikuwa unaaga kuwa hautakuja tena huku,labda na lugha uliyo tumia haipandi vizuri muda mwingi wa darasa mimi nilikuwa mabwawani kuopoa vikambale,rafiki zangu wakubwa walikuwa chura na ruba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Habari ya kazi kiongozi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Pole sana kwa kukwazika mkuu
 
Back
Top Bottom