myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
kichwa kichafu
Jana nilikwambia nataka nijilipue kwako ukakimbia hapa[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] onyesha tu unamaanisha,mimi sina shida.Muhimu nsamaka aheshimiwe kwa kiwango cha juu
Yap my QueenTuna mshukuru Mwenye Enzi Mungu
Kanisa, hapo je[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23]This is soooooo sweet...mzee wa....
IndeedYap my Queen
AMUN RANATURE DOES NOT NEED PEOPLE BUT PEOPLE NEEDS NATURE
RESPECT NATURE
Love yourselfI love my life
Babe S hajambo?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkware katika ubora wake!
Kwa kweliMkuu na wewe hongera sana unagonga like kinoma
Siwezi kukimbia humu mkuu, nafikiri sote humu we made a vow kwamba this is a place to be happy, to have fun, na pia tumezoeana Kuna mengi mazuri, japo hatufahamiani wala kujuana physical lakini everything is possible...Ahsante kwa kuja Cole Williams, kwema mdogo wangu? Jana ulinikwaza sana,ni kama ulikuwa unaaga kuwa hautakuja tena huku,labda na lugha uliyo tumia haipandi vizuri muda mwingi wa darasa mimi nilikuwa mabwawani kuopoa vikambale,rafiki zangu wakubwa walikuwa chura na ruba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Habari ya kazi kiongozi
Mimi uzima wangu umeongezeka baada ya kukuona humu tenaHi mrembo zepine Habari za uzima wako...
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anapalilia zizi[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ohooooo....
Unasema!!!!!!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] myoya +carba=thuluji [emoji23] [emoji23] taratibuuuu
AMUN RAAMUN RA