Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siwezi kukimbia humu mkuu, nafikiri sote humu we made a vow kwamba this is a place to be happy, to have fun, na pia tumezoeana Kuna mengi mazuri, japo hatufahamiani wala kujuana physical lakini everything is possible...
Cole kwa kweli huu umenikutanisha na mtu muhimu sana Quigley na nimekuja Arusha kwa ajili yake safi sana huu Uzi
 
Ahsante kwa kuja Cole Williams, kwema mdogo wangu? Jana ulinikwaza sana,ni kama ulikuwa unaaga kuwa hautakuja tena huku,labda na lugha uliyo tumia haipandi vizuri muda mwingi wa darasa mimi nilikuwa mabwawani kuopoa vikambale,rafiki zangu wakubwa walikuwa chura na ruba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Habari ya kazi kiongozi
Kumbe tulijistukia wengi aiseeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] ugonjwa wa kujistukia haujawahi kuacha mtu salama
 
Back
Top Bottom