moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mashabiki wa liverpool tujuane mapema
ββMashabiki wa liverpool tujuane mapema
Lile zali la mentali ndio lilimtokea Prof J huu mtaa alipokutana na mtoto Vicky hapaSamora Avenue DarView attachment 1238352
[emoji23][emoji23][emoji23] Unacheka nini
Me sijaonaWoow!
Heheh! Kuna wakati inabidi uwe mpole ili mambo yaweze kwenda sana Queen
#MembersWoteHumuWaoneHiyo
πππππΆ
#baridiimekuwakalikipandehiki
#siwezikuchatiakwenyeblanket
Nakusalimia shabiki wa man u
Kati ya watu nisioweza kuwaletea ligi wewe mmoja wao be free uliza bana unaninyima ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi naogopa
Kwenye blanket nilikuwa mchana au we ile baridi uko kwenu haikufika?Upo kwenye blanket kumbe
Au ndo hakuna mkate mgumu[emoji2]Woow!
Heheh! Kuna wakati inabidi uwe mpole ili mambo yaweze kwenda sana Queen
#MembersWoteHumuWaoneHiyo
Hivi hii comment ni ya wewe mgumu ambaye uliwahi kuandika kwamba huna kubebishana tena ukasema we ni mgumu zaidi ya jiwe ππππYote yako na vyote ningeshakupa, kwako nife if possible nizikwe na wewe kabisa. Na uishi milele moyoni mwanguπ₯°
Hahaha...Yaani nikasema wagumu ndo wanabebisha hivi[emoji2]Hivi hii comment ni ya wewe mgumu ambaye uliwahi kuandika kwamba huna kubebishana tena ukasema we ni mgumu zaidi ya jiwe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye blanket nilikuwa mchana au we ile baridi uko kwenu haikufika?
Now nipo kule, iki kijua kilichotoka kimenibariki π
Namsubiri aje hapa aliwahi kunipa za uso humuπππHahaha...Yaani nikasema wagumu ndo wanabebisha hivi[emoji2]
Aisee, hahaNamsubiri aje hapa aliwahi kunipa za uso humuπππView attachment 1238388
Namsubiri aje hapa aliwahi kunipa za uso humuπππView attachment 1238388
Hapana Chezea baridi na mvua hii πππAisee, haha
Allah ampe pumziko jema mama yetu.RIP MWALIMU.
Mwalimu wa walimu Kariakoo amefariki Duninia.
Mwenyezi Mungu akupe makazi mema peponi mama yetu[emoji120][emoji120][emoji120] mpenziView attachment 1238386