Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro,

Utanishukuru baadaye, nilijaribu kuwa mpinzani ili mambo yawe mamboπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Mfumo wa chama kimoja hauleti maendeleo chap chapπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Aaah! Sasa unakosea bro maana ukileta vyama vingi itabidi nijilegeze na kujiliza sana ili niweze kwenda sawa na soko la ushindani hapa. Sawa mimi sio mgumu lakini kulegea sana nako sio poa ujue

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#haitakuwamarayakwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaa hata mwijuma aliimbia si wa kwanza yeye kulilia mapenzi toka enzi zile za mababu zetuuuuuuuuuu


Kwa likeeessss hakuna majungu
Hakuna mizengwe wala vijembe
Hakuna ukabilaaaaa
 
Hivi hii comment ni ya wewe mgumu ambaye uliwahi kuandika kwamba huna kubebishana tena ukasema we ni mgumu zaidi ya jiwe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Huyu X wangu kabla ya kuwa Mgumu ndiyo alikuwa kakabidhiwa nchi mpaka katiba anatunga yeye, ghafla akanipiga chaga since then nikawa Mgumu mpaka Leo ninavyo kwambia lakini Nina moyo na Mimi tena wa nyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Samora Machel akiongoza jeshi la ukombozi la FRELIMO kwenye mapambano ya ukomboziView attachment 1238265
Kulia kwake ni jasusi bobevu la KGB kutoka Urusi lijulikanalo kama Vladimir Putin. Jasusi hilo lilikuwa linaongoza kikosi kidogo cha ufundi kilichokuwa kimetumwa Msumbiji ili kuwapa mikakati ya kimedani wapiganaji wa FRELIMO.
 
Ewaaaaa
Fanya kuongeza volume[emoji23][emoji23]
 
Mimi na wewe team moja basi tuu hauoni.Hebu jaribu kuvaa ile miwani uone.

Siwezi kuharibu ili hali nasubiria ile 'assist'πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

#youWillThankMeLater
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna muda kama naona hivi alafu kuna muda kama sioni hivi alafu kama naelewa mara sielewi hivi ...

Umenikumbusha miwani sasa napata picha bro
 
Enheee
Mwambie kwamba uliniacha pia[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…