Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daaah! Mkatalunya hujawahi kufunguka hivi asee, Yule jamaa wa Hijab akija atashangaa sana ...

Sasa hapo hakuna namna Mkatalunya itabidi koloni lirudi nyumbani tu naimani nafasi yake bado unayo.....

Huyo nafasi yake kila sekunde, kila dakika, kila saa na kila wakati huyo hata afungishe vipi kwenye kikosi yeye ndiyo golia namba moja [emoji23]
 
Husaidia wajawazito katika kumlinda mtoto awapo tumboni pamoja na kukuza tumbo la mimba bila kuongeza mafuta. Hapo hapo ni chanzo cha folate ambacho ni kipengele kimoja wapo cha DNA (deoxyribonucleic acid-husaidia ugunduzi wa kirithi kwa mwanadamu katika seli (cell) karibuni zote katika mwili); hivyo, huleta uhusiano mzuri wa mama na mtoto.
 
Huyo nafasi yake kila sekunde, kila dakika, kila saa na kila wakati huyo hata afungishe vipi kwenye kikosi yeye ndiyo golia namba moja [emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ata kabla game haijaanza unajua atafungisha tu lakini umeshamsamehe kabisa kabisa huku unawasisitiza maforwads watupe za kutosha ili kufuta makosa yake.....

Umeshaongea sana Mkatalunya sasa ni muda wa kuupa muda muda wake ili uamue...
 
Leo cole sijui kanywa nini aaah natamani nimdiss messi nione kama cole atamaind[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…