Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
More Blessings to y'all 🙏
Maisha yanakwenda kasi sana.Huu Uzi hauna maana tena watu wamekuwa wachoyo wa like
Numbisa anapost hapo anapata like moja [emoji44]
Mni prove wrong kwa like 100 [emoji3]
Eimenn[emoji120][emoji120]Mungu awaponye wagonjwa wote
The best album ninaikubali kinoma.
Hili jamaa limekufaga kimwili ila kiroho bado linaishi aise..
Duh toa upeweHuu Uzi hauna maana tena watu wamekuwa wachoyo wa like
Numbisa anapost hapo anapata like moja [emoji44]
Mni prove wrong kwa like 100 [emoji3]
[emoji23][emoji2296][emoji2296][emoji2296] Unamjua Carba anavyochochea Lakini[emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carba aone hapa
[emoji1666]Ukweli lazima usemweTuogope yote lakini tusiogope kusema ukweli inapobidi, na si ukweli tu ila kuzungumza kwa ujumla.
leo umepotea njia?Niaje mazee za mda.
Hahaha leo nipo pamoja na Marcus Rashiford na Lingard wanichinjie yule kuku kwa wembe au chupa.[emoji23][emoji23][emoji23]leo umepotea njia?
mzee wa kila la kheri marcus rashford
huoni kwamba ni bora azidi kufungwa man utd ili nafasi ya nne asifikeHahaha leo nipo pamoja na Marcus Rashiford na Lingard wanichinjie yule kuku kwa wembe au chupa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila la kheri kwao...
Woooi uyo man united yupo uko anakaribia danger zone ..kufika nafasi ya nne kwao msimu huu itakuwa na kama wamebeba ubingwa vile..huoni kwamba ni bora azidi kufungwa man utd ili nafasi ya nne asifike