Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haka kajamaa Kichwa Kichafu ni shida!Hahahaha dah umeua bro ngoja aje
Haka kajamaa Kichwa Kichafu ni shida!Hahahaha dah umeua bro ngoja aje
Wewe ni ww tu na huyu ni wewe halisi, this is the real you [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Pole kwa kuumwa...[emoji23] [emoji23] ila....
Ahsante, nilikuwa nimetoka kuzinguliwa na uniq,ghafla na wewe ukawa unatoa tamko... Loh!
Sikuhizi wanachora kwa piko mwayaTattoo hizi daah kufuta ngumuView attachment 536647
Nimekuelewa. Kwanza wewe ni shemeji yangu. Sammyluv ni dadangu ujue.Ni dadangu, kiss ni jadi yetu isikupe shida wewe piga mzigo
Hofu ni nsamaka hata sijui alijificha wapi? Kivuli chake kilionekana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jana nilikwambia nataka nijilipue kwako ukakimbia hapa[emoji23] [emoji23]
[emoji5] [emoji5]Wewe ni ww tu na huyu ni wewe halisi, this is the real you [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Comment zangu nyingine aizion sijui zinafutwaShida gan?
Aah kumbeSikuhizi wanachora kwa piko mwaya
Uniq alinifurahishaAhsante, nilikuwa nimetoka kuzinguliwa na uniq,ghafla na wewe ukawa unatoa tamko... Loh!