Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siwezi kukimbia humu mkuu, nafikiri sote humu we made a vow kwamba this is a place to be happy, to have fun, na pia tumezoeana Kuna mengi mazuri, japo hatufahamiani wala kujuana physical lakini everything is possible...
Ahsante kwa uungwana wako mkuu.carba alisema jana, unaweza ukakwazika na ukaondoka,ila kuondoka kwako ukakwaza watu wengi zaidi.Muhimu tuvumiliane maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom