Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

munaochukia utani wa makinikiyya endeleeni kuchukia bwanaaa wala siombi radhi
muna nini dadiiiii?

mbona sisi munatuita wala urojo bwanaaa wala hatununi

leo depal kapika sembe bila ya mchuzi
hawachi kapika wali na ndizi mbivu za nazi, jioni atapika sembe
happiness kapikiwa sembe na nyama ya mbuzi, usiku atakula chipsi full mziki.
numbisa kala samaki satoooo sijui ndio kambare
shimba amekula sembe kwa majani kama mbuzi meee
myoyambendi na ndugu yake moudgulf nyumbani kwao wamepiga ugali wa muhogo.

sembe sembe sembe sembeeeeeee
ndio maana hamuchelewi kufanya vipara kichwani
 
kuna utafiti fulani nimeuona juzi taarifa yake:
wanasema tungule au nyanya zinaongeza nguvu za kiume.
basi nimemkuta mtanganyika kaweka sahani yake ya sembe kavu na bakuli la tungule.
hakyamungu nyinyi watu munajikosesha utamu wa bure.
Heheh! Nguvu zetu tena.... Huku ata ukisema kunywa maji ya Bahari yanaongeza hizo nguvu amini nakuambie Zenji tutakua tunakuja kwa ndege tu maana Bahari wataikausha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…