Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Kinachonisikitisha baadhi ya wanawake hawana uwoga kabisa yaani Mwanaume humtaki why uchukue pesa yake.Viumbe wamevugurugwa kwa Sasa kutoa roho ni sekunde.baba yako ndio amemuua mama yako na kwa sasa yupo gerezani.
ndicho kitakachofuata.
Ha hah
Hapana Bro sio dongo, nilitaka kujua kama pia watu wa TECNO wanaweza tumia hii huduma.
Mungu amejalia nimeshinda Salama uwe na usiku mzuri pamoja na bae wako.Wa'alyequm salam mpendwa,,umeshinda salama ww
Ha haMungu amejalia nimeshinda Salama uwe na usiku mzuri pamoja na bae wako.
Kinachonisikitisha baadhi ya wanawake hawana uwoga kabisa yaani Mwanaume humtaki why uchukue pesa yake.Viumbe wamevugurugwa kwa Sasa kutoa roho ni sekunde.
Inasikitisha mno wameacha Familia zao kwenye majonzi.
- pengine hawakuekeana mkataba wa kuoana tokea mwanzo japokuwa walikuwa wakifanya mapenzi kama mke na mume.
- pia unaweza kukuta waliwekeana ahadi ya kuoana lakini bidada akakutana na jamaa mwenye upendo zaidi ya yule wa mwanzo, akajisahaulisha kwa makusudi mkataba aliofunga na baba watoto wake. solution alipaswa kwanza amtafute huyo mwanamme anayemdanganya kipenzi chake.
- unaweza kukuta hata huyo mtoto si wa kwake ndio maana binti akawa na jeuri ya kumtelekeza jamaa.
- ni mwanamke mjinga pekee ndiye anaweza kumweka mbali mtoto wake mchanga na baba watoto wake kwa hoja ya kutafuta furaha yake pekee bila ya kumfikiria mtoto wake.
- ni wanaume wachache sana wanaokubali kulea watoto wa mwanamume mwengine tena tokea akiwa mchanga.
kupanga ni kuchagua, tumuombe mungu azidi kutujaalia fikra hai zisizoambatana na hasira na kiburi pindi tunapofanya maamuzi yetu ya kila siku japokuwa maambo mengine tunayokumbana nayo yanatuumiza.Inasikitisha mno wameacha Familia zao kwenye majonzi.
Ameen yarrab.kupanga ni kuchagua, tumuombe mungu azidi kutujaalia fikra hai zisizoambatana na hasira na kiburi pindi tunapofanya maamuzi yetu ya kila siku japokuwa maambo mengine tunayokumbana nayo yanatuumiza.
π―π―π―Vijana pesa hainunui Upendo.
Nakupata nakupata kwenye moja na mbili π