Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Hatari sana mpendwa.Tatizo watu wanasomesha wakiwa na ndoto nzuri za baadae yaani atakuwa wangu daima hakunaga kitu kama hicho katika mahusiano chochote kinaweza kutokea.
hahahahah, salama bro?Babe! [emoji847]...
Hahah haya mambo yasikie tu broSijui kwanini nimemuwaza ningendako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
#mamboYalikuaKamaHivi[emoji3][emoji3][emoji3]
Amen bro.Hahah haya mambo yasikie tu bro
Salama huko ulipo? Tuwe na siku njema yenye kupendeza bro..
Mungu atufanyie wepesi kwenye majukumu yetu..
hahahahahahah, ulicheki wapi dada😀😀.Last time I checked you are not a woman [emoji3]
Majani ya maboga 🚶♂️🚶♂️🚶♂️Ni mboga gani hii inaandaliwa? Wa kishua hapa ni kizungumkuti wallahi [emoji1545]
View attachment 1240613
Asante sana bro.Amen bro.
Siku njema na kwako pia.
Msaada wa kubet roho yangu sitaki bora nipambane mwenyewe kutafuta pesa.Hatari sana mpendwa.
Wewe hufai kusomeshwa wewe😀😀