Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Una maoni gani kuhusu utafiti huu?
Ingawa sina utafiti wa kupinga utafiti huu,
Lakini binafsi nakubali kweli kwamba sisi ni wavivu, ila siamini kama tumewazidi wakongo.
Wakongo ni habari nyingine kwenye uvivuView attachment 1240958
Utafiti huu una matatizo na hauna vigezo vinavyoeleweka. Wanasema eti wametumia work ethic na aggressiveness kama vigezo lakini hapo hapo wanakiri kuwa vigezo hivi havipimiki kirahisi. Wameishia tu kusema kuwa kwenye nchi zembe watu wake wanalala mapema na kuamka wakiwa wamechelewa na hivyo kuathiri utendaji wao wa kazi. Na watu wengi katika nchi hizi zembe hawajui kusoma waka kuandika. Nilitegemea kuona mambo ya productivity na pengine data za GDP. Kwa ujumla haya ni maoni ya mtu kajiandikia tu na siyo utafiti wa kisayansi.


Utafiti unaoeleweka wa WHO, kwa mfano, umetumia kigezo kinachopimika cha muda wa kufanya mazoezi na kuwa active kwa raia wa nchi husika na wakapanga kutoka most active to least active (laziest). Mwaka jana hali ilikuwa hivi duniani japo mwaka huu kuna mabadiliko kidogo. Angalau huu unaweza kuuita utafiti wa kisayansi kwa sababu unakidhi vigezo.


Kwenye utafiti huu wa WHO Tanzania tumeshika nafasi nzuri tu...
 
BASHITE leo kaamka vizuri naona....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…