Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ligwaride raha si wanapata wote shem?[emoji23][emoji23]
Wa kishua hawa goli moja tu hoi tena staili anayotaka yeye. Na malalamiko juu kibao. Mara ooh usiniguse kichwani nywele zangu zitaharibika...Ooh ukipiga hiyo engo mi naumia. Hata raha hakuna yaani...Sasa ukimpa na nguo za kufua na sijui kupiga deki ndo kabisaa. Hovyo kabisa [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Uache kuchoka kwenye ligwaride uje uchoke kwenye kufua suruali zangu mbili na koti moja? Mabinti wa kishua bana dah !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Eeh alikwambia nani gwaride linachosha? Unaanzaje kuchoka kwenye gwaride wakati brass band inapiga kwa mbwembwe zote.

Kufua kunachosha tena unakuta wengine ni wavaa majeans, codrai etc bora hata cadet πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
#kufuakipaji
#siokilamtuanacho
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kauzoefu kwa mbali nakaona [emoji16][emoji16][emoji16]

Hawa wanaochokaga basi si ajabu huwa wanaigiza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…