Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bradha vipi Mbona hapa umecheka sana?


#badoSijaipataLakini
 
Huu mtego wako nimeuruka broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hapa najiuliza, huko koooote nilipocheka mbona umenitag hapa tuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

#naendaKufukuaShimoMahali
#nikilipataNitalikotiHapaHapa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hapa ndio niliona umefungua zaidi mdomo wakati wa kucheka πŸ˜€

#TunasuburiTunasubiri
 
Bi Suad Al Lamki alizaliwa na kusoma visiwani Zanzibar kabla ya Mapinduzi ya 1964 na baadaye kuelekea Misri na Ireland kwa ajili ya masomo ya sheria, kabla ya kurejea na kuajiriwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu ya Tanzania Bara alikopanda ngazi kutoka mwanasheria wa serikali hadi jaji, akiwa mwanamke wa pili tu kushika nafasi hiyo tangu Muungano wa 1964.

kwa sasa anaishi Oman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…