carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huu urembo ushanipita kushoto siku hiziJINSI YA KUPAKA DAWA KWENYE NYWELE.
Yafuatayo ni mambo muhimu ya kuzingatia wakati Wa kusema sawa kwenye Nywele.
1.Fumua Nywele zako, Chukua chanuochana Nywele zako kwa mda Wa dakika (2-3).
2.Chukua taulo jifunike shingoni , ili kuepuka sawa ya Nywele isikufikie shingoni.
3.Chukua mafuta au pods nyeupe, Pakaa maeneo ya pembeni ya kichwa ili kuzuia kudhurika na dawa kwenye ngozi yako.
Aiseeehkazi kwako mpendwa na wengi ndani ya JF, kuanzia leo naomba ufahamu:-
- moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu
- BAK na fragaria nina wasiwasi ni mtu mmoja ndio maana wote wamepotea muda mmoja
- shimba ya buyenze na mshana junior ni mtu mmoja mwenye nafsi mbili
- davet na bradha ni mtu mmoja
Hebu nitafsirie hicho alichoandika sinia bachela kwanzaehehehee rasmi bradha haupo kundi la wapole wala wanyonge aiseeee
kumbe kuna sembe na dona?Faida ya sembe ni vile unavyoweza kuhifadhiwa kwa muda mrefu bila kuharibika kuliko dona na wapo wengine huipenda sembe labda inavutia machoni tu kutokana na rangi yake.
Kwamba unajezi mbili humu?Hapo kwangu hujapatia.
Kwema huko bro?
Umekula sembe nini asubuh hii??tokea lini mtuhumiwa akakiri kosa kwa haraka haraka?
musiwe na wasiwasi repoti rasmi ilioandaliwa na jasusi mboboezi kutoka TISS itawekwa hadharani kabla ya kumalizika kwa mwaka.
wengine tumo humu ndani kwa mission maalum.
Sina jezi mbili hata.Kwamba unajezi mbili humu?
Unaji quote mwenyewe?[emoji23][emoji23][emoji23]
Good morning jirani yangu mpya
Umekula sembe nini asubuh hii??
Shetani tu ndo hutupitia tunajikuta tu tushawasomesha