D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Aisee.akachomwa moto vidoleni na mama wa kambo.
Hehe na wewe usituingilie wabara na sembe letuMtu akikuita mjinga au mpumbavu juu ya maisha yako usikasirike kwa sababu wewe si mjinga wala mpumbavu. Sema hapana kwa ndiyo nyingi kwa sababu hawapaswi kuingilia mambo ya mtu mwingine bila idhini ya Mwenyezi Mungu. Kuingilia mambo ya mtu mwingine bila idhini ya Mwenyezi Mungu ni dhambi, tena dhambi kubwa, ni kuvunja amri kuu ya kwanza ya Mungu.
no comment pleaseeeee.Hehe na wewe usituingilie wabara na sembe letu
wa kwangu ana kitambi kama pipa la kuhifadhia lami