carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji137]
Bado 😂Umeachiwa??
Akiweka ni tag[emoji124][emoji124]
Hahaha!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na asivyopenda baridi mambo ni fireee
😂😂😂😂😂😂 niko mbioni kumalizaHujambo?
Umemaliza kupika chapati za alizeti??[emoji125][emoji125][emoji125]
SawaAkiweka ni tag[emoji124][emoji124]
Hahaha matango pori yote yale
We Mkorea wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mukishajua wanaume wanaweza kupika ndio munazidi kujisifia kwa marafiki zenu.
MR X wangu ni mpishi wa hoteli basi akiwa nyumbani ni mwendo wa kupikiwa vyakula vya kisasa, ni mwendo wa kujinenepea kama paka wa kizungu.
tena hapo mashoga wakisikia hivyo ni full wivu, shoga akifika kwake na yeye anamtaka mpenzi wake ampikie vyakula vya kigeni.
balaa umwambie sijui kupika mhhhhhhhhhh! icho kichambo weeee
eboooooo mbona mumewe pandu ngozi anajua kupika vyakula vya kizungu kwani na yeye hana antenna kama ulionayo wewe?
niacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee--------------------------- au kajifunze kupika kwa usalama wakooo
kama mwanaume mwenyewe ndio umeolewa basi utakoma na utalala mzungu wa 10.
sawa honey nitakwenda kujifunza mapishi ya kizungu, kichina, kijapani, kikorea, kipemba, kinyakyusa kwa ajili yako laazizi unayekwenda haja kubwa huku ukitoa dhahabu kama zile anazotuwekea moudgulf kwenye thread ya likes jamiiforums.
chezea kupenda ujinga
Hebu pita hivi!!!
Napenda kutafuna mhogo mbichi nitapunguza mazoea.Je Muhogo una Sumu?
Hupaswi kula muhogo mbichi kwa sababu una aina ya asili ya sumu ya cyanide. Kuupika au kuuloweka muhogo (kwa ajili ya kuandaa unga wa ugali) huondoa sumu hiyo
Ugali wa udaga na dagaa waliopikwa na bamia la kutosha yaani ni kutelezeshea tu dah...Hapana ule ni unga wa ubuyu
Udaga unatokana na muhogo,nao ni laini kama unga wa ngano
Yawezekana hata mkataba wenyewe hakuusoma wakat ana sign[emoji124][emoji124]huyu fala hakuwa na mwanasheria alipokuwa anasaini huo mkataba?
ina maana hakufahamu madhara atakayoyapata pindi atakapositisha mkataba wake?
hakufahamu haki zake na za kampuni pindi atakapoamua kusitisha au kumaliza mkataba wake?
======================================
Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL harmonize amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkataba na Kampuni ya Wasafi.
Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi fm ikiwemo nyimbo zake ,akaunt za mitandao ya kijamii na mengineyo.
Ili kuendelea kutumia nyimbo hizo imemlazima kulipa milion 500, amesema kuwa ameuza nyumba zake tatu na baadhi ya aseti na yupo kwenye hatua za kumalizia deni lake ili aweze kupiga nyimbo zake popote pale.
Kuhusu kugombea ubunge amesema kauli ya Rais ni kama sheria hivyo yupo tayari kutekeleza agizo la mheshimiwa.
Mimi najua kupika na nasemaga wazi kabisa. Na huwa napika [emoji123][emoji123][emoji123]Tupe maujuzi mpendwa tatizo wanaume wa kiafrica hata kama wanajua kupika wanaona aibu kuweka wazi.
Ninge sio mweupe pee shem.Namuunga mkono. Wanyiramba wengi weupe peee. Huu mkono mweusi tiii. Sio wake !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Last kiss-taylor swift
kweli wewe mzanzibari 100%mukishajua wanaume wanaweza kupika ndio munazidi kujisifia kwa marafiki zenu.
MR X wangu ni mpishi wa hoteli basi akiwa nyumbani ni mwendo wa kupikiwa vyakula vya kisasa, ni mwendo wa kujinenepea kama paka wa kizungu.
tena hapo mashoga wakisikia hivyo ni full wivu, shoga akifika kwake na yeye anamtaka mpenzi wake ampikie vyakula vya kigeni.
balaa umwambie sijui kupika mhhhhhhhhhh! icho kichambo weeee
eboooooo mbona mumewe pandu ngozi anajua kupika vyakula vya kizungu kwani na yeye hana antenna kama ulionayo wewe?
niacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee--------------------------- au kajifunze kupika kwa usalama wakooo
kama mwanaume mwenyewe ndio umeolewa basi utakoma na utalala mzungu wa 10.
sawa honey nitakwenda kujifunza mapishi ya kizungu, kichina, kijapani, kikorea, kipemba, kinyakyusa kwa ajili yako laazizi unayekwenda haja kubwa huku ukitoa dhahabu kama zile anazotuwekea moudgulf kwenye thread ya likes jamiiforums.
chezea kupenda ujinga
😂😂😂If you know you know [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji1549]♂[emoji1549]♂[emoji1549]♂[emoji1549]♂[emoji1549]♂[emoji1549]♂[emoji1549]♂[emoji1549]♂