Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

punguza kukesha baaa kama nguo za barmaid, nimesikia tetesi mahari yako uliomba ng'ombe 20 cha ajabu umeletewa punda 20
man utd tunacheza muda huu naomba uiangalie mechi ili upunguze stress za mahari
Nyie chezeni tu, sahii kuna mvua huko nje ikikata tu naenda zangu baaaaa kuangalia taarifa ya habari ' ile ya saa 5
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpendwa tatizo urojo vyote vinachanganywa kwa pamoja binafsi chakula kichanganywe na vitu vingi huwa kinaniletea chida tumboni.
nitakuwa nafanya makosa kumlazimisha mwenye mapengo atafune mfupa wa kuku wa kiswahili

mpendwa wewe endelea kula sembe mpaka utoke mizizi ya mikono kama schwarzenegger.
 
ila hii movieinanitia uchungu maana kacheza muigizaji nae mpenda..japo stori ni nzuri na matukio yamepangika vizuri ila imefeli kwenye mauzo hata hela ya bajeti haijafikisha...
View attachment 1243361
Anguko la hii movie naona ni vile imetoka kipindi ambacho kuna utitili wa movie nyingi nzuri na bado zipo vizuri sokoni mfano Joker, Angel Has Fallen, Rambo Last Blood,Hobbs and Show
 
nitakuwa nafanya makosa kumlazimisha mwenye mapengo atafune mfupa wa kuku wa kiswahili

mpendwa wewe endelea kula sembe mpaka utoke mizizi ya mikono kama schwarzenegger.
Nilikuwa na ex wangu Mzenji jamaa alikuwa kalegea mno baada ya kuonja urojo nikajua tatizo ni hiki chakula nae alikuwa anaupenda akiwa dar lazima apate akienda kwao Zenji ndio kabisa.
 
Nilikuwa na ex wangu Mzenji jamaa alikuwa kalegea mno baada ya kuonja urojo nikajua tatizo ni hiki chakula nae alikuwa anaupenda akiwa dar lazima apate akienda kwao zenji ndio kabisa.
Hufai wewe mpendwa.

Nilikua na mipango ila kama utatusema namna hii nimeghairiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…