Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
ππππ Mimi nawapa hai wadau wa jamvi hili..Sb unamuogopea nn wakati mtu poanimefanya nini tena?
huyo shimba ya buyenze namuogopa kuliko risasi.
simba mwenda pole huyooooooo.
Inasemekana alitekwaππAlitekwa?
Saiv ni freee the happinessFREE DEPAL
[emoji8][emoji8]Hehe maisha yenyewe mafupi bae[emoji7]
#vyasikuilevyamoto
#tukianziahapaHawachiataota
ameonekana baaa anakunywa juisi ya tende.
Yaani wanawake wa Zanzibar wanachoweza hasaaa kupika urojo hakuna kingine.siwalazimishi kula ila nawaonea huruma sana kwa kijikosesha raha.
ofisi ya makamo wa pili wa raisi wa zanzibar nje yake panauzwa urojo.
watu wa bara munajua kupika chapati, vitumbua, maandazi ya mafuta na uji wa mtama utadhani tupo msibani.
mukipika keki inakuwa ngumuuuu kama kileja.
mukipika vileja vinakuwa vigumuuu kama mawe
mukipika pilau ndio balaa, si ajabu kumkuta mwanamke wa bara anaweka tungule na bizari manjano ndani ya pilau utadhani anapika mchuzi wa maji.
Sana afu ni Character anayependwa sana japo hucheza kama adui..Ila Joker imenishangaza sana,wamepiga pesa ndefu sana
Inasemekana alitekwaππ
πππ nitayaweza kweli mimi sinitachizika bureMlete TH nimfunze ππ
ukisikia jasusi uchwara ndio huyooo.ππππ Mimi nawapa hai wadau wa jamvi hili..Sb unamuogopea nn wakati mtu poa
Happiness nimeona like yake ila hajakoment.Saiv ni freee the happiness
Hahah! Ngoja niwe mpoleHahah unauwa bro
My bad basi hua sionagiNachangiaga mkuu
Hehe maisha yenyewe mafupi baeπ
#vyasikuilevyamoto
#tukianziahapaHawachiataota
Kuna member jina linaanzia na herufi D.Na nani?
Umeanza utundu mpendwa πππNumbisa mdogo wangu ukinisalimia sinenepi
Hahahaaa alinifunza mwenyeweUmeanza utundu mpendwa πππ
Kuna member jina linaanzia na herufi D.