Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
nimeona bora nikae ndani na computer yangu niwakere walaji sembe kuliko kuendelea kuangalia mechi ya man utd.Ule mpira hauvutii kabsa
Basi mpendwa wangu yaishe pumzika sasa uwe na usiku tulivu ukiwa hapo Zanzibar,japo mimi ni Mzanzibar mwenzio nilikuwa nakuzingua.hivi mpendwa leo una lengo gani na mimi jamani?
nataka kulala lakini unaendelea kuleta mada za kichochezi na muombezi huna, huyo depal unayemtegemea muda wowote kuanzia sasa atarudi baaa aendeleze tabia yake ya kunywa maji kama samaki
Sijaitazama hii,, ila zipo nyingi hiziSana afu ni Character anayependwa sana japo hucheza kama adui..
Ila yote kuna muvi inaitwa Paranormal Activity ushaiona...
π π πBro na wewe acha uboya. Uko Chuga hapo hapo kwa Depal inakuwaje unawaachia Wanyiramba watoke Manyoni huko na alizeti flowers zao na kuja kumtwaa nawe uko hapo hapo unacheka tu na hii avatar yako? Depal baridi linapuliza analalamika weee we upo upo tu. Unaniangusha sana bro [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
teh teh tehBasi mpendwa wangu yaishe pumzika sasa uwe na usiku tulivu ukiwa hapo Zanzibar,japo mimi ni Mzanzibar mwenzio nilikuwa nakuzingua.
πππππππππUmenichekesha sana mpendwa.Bro na wewe acha uboya. Uko Chuga hapo hapo kwa Depal inakuwaje unawaachia Wanyiramba watoke Manyoni huko na alizeti flowers zao na kuja kumtwaa nawe uko hapo hapo unacheka tu na hii avatar yako? Depal baridi linapuliza analalamika weee we upo upo tu. Unaniangusha sana bro [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Sio umenielewa vibaya mpendwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani asikubali jamaa amkataze kuchat nasi [emoji1][emoji1][emoji1]
ππππAchilia nywilaaaaaa [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Bro na wewe acha uboya. Uko Chuga hapo hapo kwa Depal inakuwaje unawaachia Wanyiramba watoke Manyoni huko na alizeti flowers zao na kuja kumtwaa nawe uko hapo hapo unacheka tu na hii avatar yako? Depal baridi linapuliza analalamika weee we upo upo tu. Unaniangusha sana bro [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Naona aliwasikia πFREE DEPAL