Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1182285.jpeg
 
Bro na wewe acha uboya. Uko Chuga hapo hapo kwa Depal inakuwaje unawaachia Wanyiramba watoke Manyoni huko na alizeti flowers zao na kuja kumtwaa nawe uko hapo hapo unacheka tu na hii avatar yako? Depal baridi linapuliza analalamika weee we upo upo tu. Unaniangusha sana bro [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bhana, umenichekeshana
 
hivi mpendwa leo una lengo gani na mimi jamani?
nataka kulala lakini unaendelea kuleta mada za kichochezi na muombezi huna, huyo depal unayemtegemea muda wowote kuanzia sasa atarudi baaa aendeleze tabia yake ya kunywa maji kama samaki
Unaongea sana we hivi hauna mapengo kweli?
Bado nipo nipo hadi saa 5 na sahii nikienda nakupitia
 
Ee bana

Si beti ikabuma. Watu tushaandaa pilau,vinywaji nakadhalika shuain lalana akaharibu shughuli

Hatujakaa sawa bradha katuletea misamiati mipya ya jamaa wa library na kupanga vitabu

Hee kugeuka kule yupo hawachi bana utadhan kaazima nywila,hawachi wetu mpole mpole leo kawa mtaalamu awesome

Bila kusahau daemusin mkorea wa kizenji mwenye ugomvi matata na sembe

Oppsss ndugu wapendwa leo ni mechi ya man u kule pande za futuhi

Dedication kwa man u
#ipoSikuTutarudiUCL


Mwisho wa sikuuuuu

#FreeeThehappiness
Heheh!!

Kwa taarifa tu niliyopenyezewa ni kwamba
Depal alikuwa busy kutafuta maji ya madafu etiiii ningendako ndo maji yake ya kuoga hayo.
Vilevile alikuwa anajifunza kupika chapati za alizeti.

Kingi bhana wivu umemzidi kisa anakandwa na maji ya barafu

Hawa vijana wanakula maisha sijui Bradha ana fail wapi

Mwisho wa sikuuuu man u mfungwe tuuuu

Movement inaendelea
#freeTheHappiness
#vijanapunguzeniwivu
#achieni nywila hizo
 
Heheh!!

Kwa taarifa tu niliyopenyezewa ni kwamba
Depal alikuwa busy kutafuta maji ya madafu etiiii ningendako ndo maji yake ya kuoga hayo.
Vilevile alikuwa anajifunza kupika chapati za alizeti.

Kingi bhana wivu umemzidi kisa anakandwa na maji ya barafu

Hawa vijana wanakula maisha sijui Bradha ana fail wapi

Mwisho wa sikuuuu man u mfungwe tuuuu

Movement inaendelea
#freeTheHappiness
#vijanapunguzeniwivu
#achieni nywila hizo
Hehehehee jamani umeanza vizuri umemalizia vibaya hapo kwa man u tu . acha uadui uende mbinguni,ipende man u
 
Back
Top Bottom