Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ee bana

Si beti ikabuma. Watu tushaandaa pilau,vinywaji nakadhalika shuain lalana akaharibu shughuli

Hatujakaa sawa bradha katuletea misamiati mipya ya jamaa wa library na kupanga vitabu

Hee kugeuka kule yupo hawachi bana utadhan kaazima nywila,hawachi wetu mpole mpole leo kawa mtaalamu awesome

Bila kusahau daemusin mkorea wa kizenji mwenye ugomvi matata na sembe

Oppsss ndugu wapendwa leo ni mechi ya man u kule pande za futuhi

Dedication kwa man u
#ipoSikuTutarudiUCL


Mwisho wa sikuuuuu

#FreeeThehappiness
Si nilikwambia leo ni ushindi!

Ngoja tusubirie mwisho wa Arsenal ya SYB.
 
Wewe huyo wa katikati uliyevaa bluu mimi nitakusomesha tu liwalo na liwe; na hata ukija kuniacha sitakuua [emoji16][emoji16][emoji16]

IMG-20191024-WA0016.jpeg
 
Back
Top Bottom