Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Nawe pia mpendwaMuwe na usiku mwema
Ahsante kwa maneno ya faraja mkuu.. uwe na usiku mwema.Every struggle in your life
has shaped you into
the person you are today.
Be thankful for the hard times;
they can only make you stronger.
.
.
Good night fam[emoji177][emoji177]
Si nilikwambia leo ni ushindi!Ee bana
Si beti ikabuma. Watu tushaandaa pilau,vinywaji nakadhalika shuain lalana akaharibu shughuli
Hatujakaa sawa bradha katuletea misamiati mipya ya jamaa wa library na kupanga vitabu
Hee kugeuka kule yupo hawachi bana utadhan kaazima nywila,hawachi wetu mpole mpole leo kawa mtaalamu awesome
Bila kusahau daemusin mkorea wa kizenji mwenye ugomvi matata na sembe
Oppsss ndugu wapendwa leo ni mechi ya man u kule pande za futuhi
Dedication kwa man u
#ipoSikuTutarudiUCL
Mwisho wa sikuuuuu
#FreeeThehappiness
Mpendwa Hawachi huyu anakaramka kwa kasiKwamba The don anahusika na kupotea huyo binti??
Sema vizur tuanze movement[emoji23][emoji23]
Wewe huyo wa katikati uliyevaa bluu mimi nitakusomesha tu liwalo na liwe; na hata ukija kuniacha sitakuua [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1243672
πππ embu niache[emoji23][emoji23][emoji23]
#achianywila
#freeTH
πππππMzee baba kwani wewe domo zege?[emoji23]