Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu ni wachafu kweli yan
weweeeeeee wanawake wa zenji wachafu kakwambia nani?
kwanza uchafu upi ulioukusudia?
kuna uchafu wa mavazi, uchafu wa mwili, uchafu wa kujituma kitandani, uchafu wa kujituma kimaisha

mwanamke wa zenji kila muda ananukia udi, asumini, waridi utadhani amezaliwa singapore.

carbamazepine ulipokuwa unaiandika hii comment yako nina wasiwasi ulikunywa gongo na ugali wa mtama.
 
Mkorea[emoji16][emoji16]
Heshima yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…