D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nani amekwambia utumie simu?Wewe Kichaa leo una kasi ya ajabu sana au unatumia Auto post?
bwege wewe kutoka catalunya.
tukutane december.
nani amekwambia utumie simu?Wewe Kichaa leo una kasi ya ajabu sana au unatumia Auto post?
Naona wengi wanalalamika hivyoHili bando sijui ni hewa[emoji848][emoji848]
Maana halijawahi fika siku3
Umesahau bei ya sembe maharagenimesahau kuweka menu ya leo na bei zake huku zanzibar kwa top 5.
- biryani = 6000
- pilau kwa kuku = 5000
- pilau kwa ng'ombe = 4000
- wali maharage = 2500
- wali kwa mchuzi wa kitajiri = 3000