D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Yeye Ahmed amekumbuka mambo mimi sijayakumbuka. Kwa sababu, kasema tulipofika Abdallah Hanga katuambia sikilizeni: nyinyi ni vijana, watoto kwa sasa, lakini kesho nyie ndio mtakuwa viongozi. Nina maneno ninataka kukwambieni. Tukawa sasa tumekaa tunamsikiliza nini atasema.