Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dengu ni nafaka kama zilivyo nafaka zingine, ni zao la jamii ya mikunde pia ni zao la biashara, ni miogoni Mwa zao muhimu sana la biashara ukanda wa ziwa kwa sababu ya thamani yake Kuwa juu sana, zao hili hutumika pia kama zao la chakula kama mbonga , mchaganyo wa wali mseto , makande , kutegeneza Bagia , chiichiri namengineyo mengi.
 
Dengu ni zao la chakula na biashara lenye kiasi kikubwa cha protini, vitamini A na B, Madini ya Potassium na chuma. Zao hili likilimwa vizuri linaweza kutoa mavuno ya kilogram 200 hadi 500 kwa ekari. Zao hili huchukua wastani wa siku135 kupandwa hadi kuvunwa
 
Mambo ya kuzingatia
1. Kuwa makini na hali ya hewa ya mwaka husika kwa kuangalia ukame katika mbuga utaaisha lini pia hali ya mvua ikoje kwa maana kuwa msimu wa kulima huwa mwezi wa tatu mwishoni kwenye maeneo ambayo mbuga huwahi kukauka mapema yaani muda huo ndiyo watu huanza kuandaa shamba kwa kulilima mara ya kwanza kama hatua ya kukiandaa shamba pia hatua hii hufanyika mwenzi nne lakini iwe kwenye kumbukumbu sahihi kuwa ndegu kwa hali ya uzuri kabisa hulimwa mwezi nne na mwanzoni kabisa mwa mwezi wa tano kabla mbuga hazichakauka
 
2. Uchaguzi wa Mbengu, mbengu bora za dengu ni muhimu kuzifahamu na kuzitumia katika kilimo hiki Ziko mbengu ambazo hazihimili magonjwa lakini zipo zinazohimili magonjwa na zinakuwa na uzito hii husaidia katika swala la uuzaji kwa maana ya kuwa mara nyungi dengu kwa sasa huuzwa kwa kilo ili mkulima apate faida zaidi
 
menu ya vilaza ndio hii kwa siku ya leo

  1. sembe kavu pamoja na chumvi ya unga = 300 lakini maji ya kunawa na ya kunywa unatoka nayo kwenu.
  2. sembe kwa bamia = 500, maji ya kunawa unapewa bure
  3. sembe kwa maharage = 1000 pamoja na maji ya kisima.
  4. sembe na mboga = 700 pamoja na maji ya bomba.
  5. sembe, maharage, mboga, maji ya kiwandani = 2000 na muuzaji anakunawisha mikono yako kabla na baada ya kula.
usiku mwema walaji sembe wote.
munajuwa kwa nini watu wa bara hamuzai sana?
munakula chakula kibovu kisicholeta mzuka kwenye kikojoleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…