Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mbulu is my favourite place sis [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mbulu is my favourite place sis [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAPENZI NI HISIA ZINAZO UMIZA LAKINI HAZICHOSHI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ina maana huo mkono unaoweka hiyo mekapu ni wako mpenzi Hawachi? Jizazi !!!Dear kazi ya mikono yangu hiyo kama unahitaji mrembo nakufanyia Makeup shemeji atakusahau[emoji16][emoji16]
Waah[emoji124][emoji124][emoji124]Hainaga ushemeji ya man fungo ikusindikizie jioni yako [emoji8][emoji8]
Aya sikucheki tena... heheheh!Usinicheke bhana KD[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂Hivi mpendwa una amini kila ninacho andika ni kweli mimi ni muongo jukwaani nachangamsha mada.Ina maana huo mkono unaoweka hiyo makapu ni wako mpenzi Hawachi? Jizazi !!!
Daah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pilot
ila saivi naingizia wateja nyimbo kwenye memory card na simu zao
na kuwaekea whatsapp kina mama/baba wasiojua kutumia smart phone
[emoji3][emoji3][emoji3]nilitaka kuwa mwanajeshi, baada ya kulogwa nmekuwa muuza ngada
Haha!