Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,591
- 12,461
Pilot
ila saivi naingizia wateja nyimbo kwenye memory card na simu zao
na kuwaekea whatsapp kina mama/baba wasiojua kutumia smart phone
[emoji23][emoji23]
Cc Kingsmann
Pilot
ila saivi naingizia wateja nyimbo kwenye memory card na simu zao
na kuwaekea whatsapp kina mama/baba wasiojua kutumia smart phone
Naelewa mpendwa Hawachi. Tucheke na kufurahi. Na kula likes...ila huo mkono dah [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mpendwa una amini kila ninacho andika ni kweli mimi ni muongo jukwaani nachangamsha mada.
Wazazi hii inawahusu sana.[emoji116][emoji116][emoji116]
A child is like a butterfly in the wind. Some can fly higher than others, but each one flies the best it can. Why compare one against the other? Each one is different. Each one is special. Each one is beautiful.
😂😂😂 Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Juzijuzi hapa Waziri wetu alipokutana na Trump, Trump ametupongeza kwa kununua ndege Marekani na wakashikana mikono, hii inaonesha tukinunua ndege kwa wakubwa na sisi tunakuwa wakubwa wakubwa, tunamshukuru sana Trump na tunamuahidi tutaendelea kununua ndege nyingi Marekani na chaguo letu hasa ni Boeing maana ni ndege nzuri" - JPM
My wangu bana....Geologist[emoji23] sasa ni beki tatu
Habari...
Huku poa twamshukuru AllahSafi mkuu vp
Nilitaka kuandika kitu ila 😁😁😁Naelewa mpendwa Hawachi. Tucheke na kufurahi. Na kula likes...ila huo mkono dah [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Eti dear Numbisa ubuyu wa Irene ni kweli.Akiwa na kim au wanae huwa anatabasamu tamu sana
Kwa hiyo anataka kimuonekano uwe kizee huku yeye anachepuka na warembo endelea kumsikiliza 😁😁😁Hongera mpendwa,uko vizuri sana.
Ngoja nimuulize kama atakubali maana kanambia mimi niwe natumia baby care tu[emoji23][emoji23]
Cole Williams hebu njoo kwanza
Acha fujoInasikitisha sana View attachment 1245619
Shikamoo Bro [emoji7][emoji7].....hapa uzi wa like is my favourite placeMbulu is my favourite place sis [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23]Haha!
Yaani mimi mtu akiniambia nimekuota huwa siulizi details naamua tu kuondoka