Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni kawaida kukuta mtu akiiga kila aina ya zoezi analoona mwenzake anafanya bila kuwa na malengo. Kama tulivyosema hapo awali, malengo ya kufanya mazoezi yanatofautiana. Mwingine anataka kupunguza mafuta mwilini wakati mwingine anataka kuongeza misuli katika mwili wake. Ni dhahiri kwamba wawili hawa hawawezi kuwa na mazoezi yanayofanana kwa asilimia mia moja.