Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mpendwa una amini kila ninacho andika ni kweli mimi ni muongo jukwaani nachangamsha mada.
Naelewa mpendwa Hawachi. Tucheke na kufurahi. Na kula likes...ila huo mkono dah [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Juzijuzi hapa Waziri wetu alipokutana na Trump, Trump ametupongeza kwa kununua ndege Marekani na wakashikana mikono, hii inaonesha tukinunua ndege kwa wakubwa na sisi tunakuwa wakubwa wakubwa, tunamshukuru sana Trump na tunamuahidi tutaendelea kununua ndege nyingi Marekani na chaguo letu hasa ni Boeing maana ni ndege nzuri" - JPM
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…