Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Marahaba sis...Shikamoo Bro [emoji7][emoji7].....hapa uzi wa like is my favourite place
Kwa vile umesita bila shaka hakikuwa kizuri. Asante kwa kutoandika mpendwa.Nilitaka kuandika kitu ila [emoji16][emoji16][emoji16]
Inasikitisha sana View attachment 1245619
Habari...
Nini kinaendelea hapa? Huyo mwenye misuli ni +ke au ni yale mambo ya kisasa?Neno moja kwaoView attachment 1245672
Tatizo lako kuchukia ni sekunde naogopa kuharibu siku yako mpendwa.Kwa vile umesita bila shaka hakikuwa kizuri. Asante kwa kutoandika mpendwa.