Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
WasalimieDuh! Noma sana .... D was here
Good night fellas
Usichafue vyanzo vya maji dada.Unasemaa[emoji13]
Daktari ila upepo wa kisuli suli ukanikumba saiv................Ndoto yako ilikuwa uje kuwa nani kabla ya kulogwa..?[emoji3]
Weka japo Flight mode kwenye simu yako itakua umefanya japo jambo moja linalihusiana na Ndege.Pilot
ila saivi naingizia wateja nyimbo kwenye memory card na simu zao
na kuwaekea whatsapp kina mama/baba wasiojua kutumia smart phone