D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Acha tamaa wewe kaa uangalie mechi ya timu yako 😀huyu mpangaji wa ratiba ya premier league ana wazimu?
liverpool = saa 1:30
man utd = saa 1:30
arsenal = saa 1:30
Heheh! Uhenga unaoukimbilia usijali utafika tu huko kikubwa uzima.....Marahabaa king
Poa,upo salama?Heheh! Uhenga unaoukimbilia usijali utafika tu huko kikubwa uzima.....
Mambo yako vipi?
wameghairishaLa liga mechi nzuri kwa wakatalunya ni leo
Opssss sio leoLa liga mechi nzuri kwa wakatalunya ni leo
siku hizi manchester united inatia stress kuiangalia hivyo basi njia pekee ilikuwa ni kucheza peke yake.Acha tamaa wewe kaa uangalie mechi ya timu yako 😀